Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto achukua wadhifa wa mwenyekiti wa COMESA

  • | KBC Video
    788 views
    Duration: 2:14
    Kenya inadhamiria kutilia mkazo matumizi ya nyenzo za kidijitali kwenye biashara ikiwemo katika utoaji leseni na usimamizi wa mipaka kielektroniki baada ya kukabidhiwa uenyekiti wa shirika la COMESA. Rais William Ruto amesema mifumo ya kidijitali ni nguzo ya kufungua fursa za biashara, kupiga jeki ushindani wa kibiashara na kuongeza viwango vya biashara baina ya mataifa wanachama\ Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive