Rais Ruto aidhinisha Sheria ya Watu Wenye Ulemavu

  • | TV 47
    28 views

    Rais Ruto aidhinisha Sheria ya Watu Wenye Ulemavu.

    Sheria hiyo inahakikisha haki za PWDs katika elimu, ajira, na huduma za afya.

    Sheria mpya inalenga kuondoa vikwazo vya kimfumo dhidi ya PWDs.

    Rais Ruto pia asaini Muswada wa Nyongeza ya Fedha kwa Serikali za Kaunti.

    Muswada mpya waongeza ufadhili kwa kaunti ili kuimarisha ugatuzi.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __