Rais Ruto akiri kuna changamoto kuhusiana na bima ya afya ya SHA

  • | Citizen TV
    3,955 views

    Rais William Ruto leo amevunja kimya chake kuhusiana na changamoto zinazokumba mradi wa serikali yake wa bima ya afya ya SHA. Rais akiwataka wakenya kuwa na imani na bima hiyo akisema anaamini itakuwa sawa hivi karibuni. Rais aliyehudhuria ibada ya jumapili katika kanisa moja eneo la Roysambu hapa Nairobi pia amewakosoa wanaoshutumu michango yake kanisani, akitoa shilingi milioni 2o