- 4,945 viewsDuration: 1:16Huku pazia la kipute cha CHAN 2024 likifungwa, Rais William Ruto alikutana na Rais wa Shirikisho la Kimataifa la Soka (fIFA), Gianni Infantino, katika Ikulu ya Nairobi mapema leo kabla ya mchuano wa fainali kati ya Madagascar na Morocco unaoendelea ugani Kasarani