Rais William Ruto siku ya Jumatano alikutana na wadau wa Wizara ya Elimu katika Ikulu ya Nairobi, katika kikao cha ngazi ya juu kilicholenga kushughulikia changamoto kuu zinazoikabili sekta ya elimu nchini, ikiwemo ufadhili wa shule, mageuzi ya elimu na utekelezaji wa sera.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive