- 1,293 viewsDuration: 2:36Rais William Ruto amepuuzilia mbali muungano wa upinzani na kuutaja kama ambao hauna mwelekeo wala ajenda itakayowafaidi wakenya. Rais amesema kuwa viongozi wa upinzani hawa ruwaza mbadala itakayoweza kuendeleza taifa. Ruto pia aliwasuta baadhi ya wanasiasa wanatilia shaka mpango wake wa kubadilisha taifa kiuchumi