- 3,053 viewsDuration: 2:48Rais William Ruto amesema kuwa chama cha ODM na UDA vitafanya mazungumzo kwa nguvu sawa kwa maandalizi ya uchaguzi mkuu ujao. Akizungumza kaunti ya siaya, Rais Ruto aliyeandamana na kinara wa ODM Oburu Oginga na Balozi Ida Odinga, amewahakikishia wafuasi wa ODM kuwa ushirikiano wao ni wa manufaa zaidi na kuwataka kuwapuuza wale wanaopinga muungano huo.