- 1,306 viewsDuration: 2:54Rais William Ruto ameendelea kuwasuta wapinzani wake wanaopinga mpango wa kuwapa vijana mtaji wa Nyota. Akiwahutubia vijana kutoka Nairobi, Kiambu na Kajiado, Ruto amewataka viongozi wa upinzani wakome kuwapotosha vijana wanaotafuta njia ya kujikwamua kimaisha.