Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto ayaamuru majeshi na asasi za dharura kukabiliana na maafa ya mafuriko nchini.

  • | Citizen TV
    33,443 views
    Duration: 3:00
    Rais William Ruto ameamrisha asasi tofauti kuweka mikakati ya dharura kufuatia mvua kubwa iliyosababisha maafa na uharibifu katika kaunti mbali mbali nchini. Asasi hizi zikiwemo Majeshi ya Ulinzi, Kaunti ya Nairobi, Idara ya Polisi, Shirika la Msalaba Mwekunda Pamoja na Kampuni ya kusambaza Umeme KPLC na Wizara inayosimamia Huduma Maalum zimetakiwa kushirikiana kupambana na athari ya Mvua na mafuriko