Rais wa Marekani Donald Trump amemkaribisha Mwalimu raia wa Marekani Marc Fogel katika white house jana jumanne usiku baada ya Fogel kuachiliwa huru kutoka Russia ambako amekuwa akizuiliwa tangu Agosti 2021 kwa tuhuma za kuingia Russia na bangi. Fogel amesema kwamba anahisi ana bahati sana duniani.
Ameshukuru rais Trump na wanadiplomasia wa Marekani Pamoja na mawakili kwa kusaidia kuweza kuwa uhuru.
Trump amesema ameshukuru kwamba Russia ilimuachilia huru Fogel. Hata hivyo hajatoa taarifa zaidi kuhusu makubaliano yaliyopelekea Fogel kuachiliwa huru.
Msemaji wa Kremlin Dmitry Peskov amewaambia waandishi wa habari kwamba Marekani ilikuwa imekubali kumuachilia huru raia wa Russia anayezuiliwa katika gereza la Marekani kama sehemu ya makubaliano hayo na kwamba aliyeachiliwa huru atatajwa atakapowasili Russia. - VOA NEWS
#rais #marekani #marcfogel #whitehouse #russia #bangi #voa #voaswahili
16 Jun 2025
- Tanzanian opposition leader Tundu Lissu told a court on Monday he had been denied his basic legal rights and that he would defend himself against a treason charge that carries the death penalty.
16 Jun 2025
- The Director of Public Prosecutions (DPP) has told the court that Nairobi Central Police Station OCS Samson Taalam interfered with crucial evidence related to an ongoing investigation into the death of Albert Ojwang in police custody.
16 Jun 2025
- Former Deputy President Rigathi Gachagua has urged the Kenyan youth to avoid taking to the streets on June 25 to commemorate the deadly aftermath of the anti-tax protests , warning that there is a plot to kill them.
16 Jun 2025
- Former Chief Justice David Maraga now wants president William Ruto to take action following the heinous murder of teacher Albert Ojwang', saying the buck stops with him as the head of government.
16 Jun 2025
- The government is in the process of reviewing the current labour laws to align them with the emerging issues in the world of work, with an aim of advancing social justice for all.