Skip to main content
Skip to main content

Rais William Ruto ameendelea kuwarushia vijembe wanasiasa wa upinzani

  • | Citizen TV
    5,227 views
    Duration: 3:10
    Rais William Ruto ameendelea kuwarushia vijembe wanasiasa wa upinzani akiwataka wakenya kuepuka siasa za chuki. Akizungumza alipoanza ziara ya siku nne katika eneo la Gusii, Rais Ruto ameendelea kujipigia debe akisema rekodi yake ya maendeleo itampa fursa kuendelea kuwa rais kwenye uchaguzi mkuu ujao.