Skip to main content
Skip to main content

Rais William Ruto amewaagiza wanafunzi wote kuripoti shule

  • | Citizen TV
    581 views
    Duration: 2:38
    Huku wanafunzi wengi wakisalia nyumbani kwa kukosa fedha, Rais William Ruto amewaagiza wanafunzi wote wa gredi ya 10 kuripoti shule kuanzia leo hata iwapo hawawezi kumudu kulipa karo. Rais ruto aliyezungumza katika kaunti ya meru leo, alisema serikali imetoa ufadhili wa shilingi bilioni 44 kuhakikisha wanafunzi wanapata elimu. Na kama anavyoarifu emmanuel too, wizara ya elimu imetoa onyo kali kwa wakuu wa shule watakaokiuka maagizo hayo.