Rais William Ruto ateua kamati ya watu saba kumsaka mkurugenzi mpya wa Mashtaka ya Umma

  • | Citizen TV
    283 views

    Rais William Ruto ameteua jopokazi la watu saba ambalo litashughulikia mchakato wa kumsaka mrithi wa Noordin Haji kama mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma.