Skip to main content
Skip to main content

Rais William Ruto atia saini mswada wa sheria ya ubinafsishaji mali ya umma

  • | Citizen TV
    70 views
    Rais William Ruto leo alitia saini sheria ya kusimamia biashara za serikali, inayotoa nafasi ya kuundwa kwa hazina ya ujenzi wa miundo msingi nchini pamoja na ubinafsishaji wa baadhi ya mashirika ya serikali na kuunda ushirikiano kati ya sekta ya umma na ile ya kibinafsi.