Skip to main content
Skip to main content

Rais William Ruto kuhutubia taifa bungeni leo

  • | Citizen TV
    5,356 views
    Duration: 10:31
    Rais William Ruto anatarajiwa kutoa taarifa kuhusu hali ya taifa katika kikao maalum cha mabunge yote mawili. Hotuba ya rais inatarajiwa kuangazia mafanikio na changamoto za serikali yake. Hotuba hiyo ni ya kikatiba ambapo rais anawajibika kutoa hotuba bungeni kila mwaka kuhusu hali na mustakabali wa taifa.