Skip to main content
Skip to main content

Ripoti yafichua upungufu mkubwa wa mgao wa elimu katika shule za umma

  • | Citizen TV
    201 views
    Duration: 3:26
    Ripoti maalum ya mkaguzi wa hesabu za serikali imeonyesha kuwa shule za umma zilikosa kupokea mgao wa shilingi bilioni 117 kufadhili masomo ya bure kwa wanafunzi kati ya muda wa mwaka wa 2020 hadi 2024. Uhaba huu ukiibua maswali huku wizara ya elimu ikisema imetoa mgao wa shilingi bilioni 23 kwa muhula wa pili unaoanza Jumatatu ijayo.