- 9,190 viewsDuration: 3:20Yaliyoendelea zaidi duniani. Alipohutubia kikao cha mabunge yote mawili leo, rais alitaja nguzo nne muhimu za kuimarisha miundo mbinu ya elimu, unyunyiziaji maji, kawi na uchukuzi, kama miradi itakayofaulisha ndoto hiyo. Rais Ruto ameahidi kuanzisha ujenzi wa reli ya SGR kutoka naivasha hadi malaba januari mwaka ujao. Rais aorodhesha nguzo nne za kuinua Kenya asema atainua Kenya hadi viwango vya kimataifa nguzo hizi ni elimu, unyunyiziaji maji, kawi na uchukuzi ujenzi wa reli ya Naivasha-Malaba kuanza mwakani