- 833 viewsMkutano wa 52 wa G7 Summit 2026 unaofanyika mjini Paris, France, umeendelea kushuhudia mijadala kuhusu uwakilishi wa mataifa yanayoendelea. Rais William Ruto amesema kuwa kuendelea kutengwa kwa bara la Afrika kwenye masuala ya uongozi wa kimataifa kunazua wasiwasi na kudhoofisha usawa katika maamuzi ya dunia.