Skip to main content
Skip to main content

Ruto amfukuza mwanakandarasi wa barabara Nyaribari Chache

  • | Citizen TV
    8,375 views
    Duration: 3:15
    Rais William Ruto leo amelazimika kumfukuza mwanakandarasi mmoja aliyewahi kutwikwa jukumu la kutengeneza barabara katika eneo la Nyaribari Chache, kaunti ya Kisii. Licha ya kuzinduliwa mwaka wa 2018, barabara hiyo bado haina dalili ya kukamilika, hatua iliyoonekana kumkasirisha Rais Ruto. Rais Ruto alitumia fursa hiyo kuwaonya wanakandarasi wote wasio wawajibika.