- 5,467 viewsDuration: 4:00Rais William Ruto ameorodhesha anayoyataja kama mafanikio yake katika kipindi ambacho amekuwa uongozini, akisema kuwa serikali yake inazidi kutimiza ahadi ilizozitoa kwa wakenya. Aidha rais amewasuta wakosoaji wake akisema kuwa ahadi walizopiga vita sasa zinatekelezwa. Rais ametumia hotuba yake kuorodhesha aliyofanikisha na anayotizamia kufanya