- 8,186 viewsDuration: 2:49Rais William Ruto anasema amefanya kila amezalo kujaribu kuwaokoa wakenya kutokana na makali ya bei ya juu ya mafuta nchini. Akizungumza huko kisii rais ameongeza kuwa serikali imetumia shilingi bilioni 6.5 katika juhudi hizi huku akitangaza rasmi kupunguzwa kwa ushuru wa mafuta nchini kutoka asilimia 16% hadi 8% kwa miezi mitatu ijayo.