22 Jan 2026 7:32 pm | Citizen TV 242 views Duration: 1:25 Rais William Ruto ameendelea kutetea mradi wa serikali wa kuwapa vijana ruzuku ya kuanzisha biashara wa nyota, akisema inalenga kuwawezesha vijana kujikimu na kusaidia kutatua uhaba wa ajira