Skip to main content
Skip to main content

Safari ya Raila Odinga katika azma ya uenyekiti wa AUC

  • | Citizen TV
    2,099 views
    Duration: 8:06
    Hayati Raila Odinga alipigania na kupoteza azma ya kuwa mwenyekiti wa tume ya Umoja wa Afrika, AUC. Shughuli nyingi za kampeni zilifanyika katika mataifa ya bara afrika kabla ya uchaguzi huo uliofanyika Februari mjini Addis Ababa, Ethiopia. Baadaye tarehe 15 Oktoba, Raila Odinga aliaga dunia. Seth Olale alipata fursa ya kuangazia matukio hayo ya sisa za Raila Odinga nah ii hapa simulizi yake.