Skip to main content
Skip to main content

Seneta Osotsi awasilisha taarifa polisi baada ya kuvamiwa Kisumu

  • | Citizen TV
    879 views
    Duration: 1:22
    Seneta wa Vihiga Godfrey Osotsi leo ameandikisha taarifa katika kituo cha polisi cha Bunge hapa Nairobi kufuatia kisa cha kuvamiwa kwake kaunti ya Kisumu wiki jana.