18 Nov 2025 8:32 pm | Citizen TV 172 views Duration: 1:03 Timu ya kenya katika michuano ya deaf-lympics nchini Japan imeongeza idadi yao ya medali hadi nne baada ya kutwaa medali katika mashindano ya riadha.