21 Jan 2026 10:18 am | Citizen TV 293 views Duration: 1:52 Serikali imeanza zoezi la kusambaza chakula cha msaada katika baadhi ya sehemu ambazo zimeathirika zaidi na baa la njaa katika kaunti za Garissa na Wajir.