Skip to main content
Skip to main content

Serikali imetetea mchakato unaoendelea wa kuandaa bajeti

  • | KBC Video
    102 views
    Duration: 2:09
    Katibu katika wizara ya fedha, Chris Kiptoo, ametetea mchakato unaoendelea wa kuandaa bajeti, akisema kuwa umebuniwa kwa njia itakayopunguza hatua kwa hatua utegemezi wa taifa hili kwa mikopo na kuielekeza Kenya kwenye uendelevu wa kifedha. Kiptoo amesisitiza kuwa ushuru uliopendekezwa na serikali kwa ajili ya kufadhili bajeti umezingatiwa kwa makini na unaongozwa na maslahi ya kitaifa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive