Skip to main content
Skip to main content

Serikali imezindua mikakati mipya ya kufufua sekta ya kahawa

  • | Citizen TV
    261 views
    Duration: 2:45
    Serikali imezindua mikakati mipya ya kufufua sekta ya kahawa nchini, huku wakulima katika maeneo mapya kama Loitokitok, Kaunti ya Kajiado wakihamasishwa kurejea katika kilimo hicho chenye faida kubwa.