Skip to main content
Skip to main content

Serikali kuanza kutoa vyeti vya ujuzu kwa vijana

  • | Citizen TV
    285 views
    Duration: 1:13
    Serikali inalenga kuanza zoezi la kutoa vyeti kwa vijana walio na ujuzi ambao hawakubahatika kusomea ujuzi huo vyuoni. Katibu katika wizara ya leba Shadrack Mwadime, anasema jumla ya vijana elfu 68 wanatarajiwa kupewa vyeti hivyo. Mwadime amesema hatua hiyo itawasaidia vijana walio na ujuzi kutambulika sio tu hapa nchi bali pia katika mataifa mengine wanapoenda kusaka ajira.