Zaidi ya shilingi trilioni moja zilizowekezwa na mamilioni ya Wakenya katika vyama vya ushirika sasa vinaaweza kuwa nguzo muhimu ya kufadhili miradi mikubwa ya maendeleo nchini. Serikali imeashiria azma ya kutumia nguvu ya kifedha ya vyama vya ushirika kupitia Hazina ya Kitaifa ya Miundombinu huku ikiharakisha mageuzi ya sekta hiyo yanayolenga kuimarisha uongozi, uwajibikaji na kulinda akiba za wanachama.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya