Serikali kutumia shilingi bilioni-29 kuimarisha vifaa vya polisi

  • | KBC Video
    48 views

    Serikali itatumia shillingi billioni 29 katika muda wa miaka mitatu ijayo chini ya mpango wa ununuzi wa vifaa vya kisasa kwa polisi ili kuwawezesha kutekeleza ipasavyo wajibu wao.Waziri wa usalama wa taifa Professa Kithure Kindiki alisema hayo alipozindua awamu ya kwanza ya usambazaji wa vifaa hivyo,akikariri kujitolea kwa serikali kuangamiza ujangili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive