Serikali kuu kushirikiana na vyuo vikuu kuimarisha masomo ya vyuo vikuu

  • | West TV
    55 views
    Serikali itaendelea kushirikiana na vyuo vikuu nchini ili kuimarisha elimu katika vyuo hivyo. Haya ni kwa mjibu wa mwenyekiti wa tume ya elimu ya vyuo vikuu nchini prof. Chacha nyaigoti chacha aliyezungumza kwenye hafla ya kufuzu katika chuo kikuu cha alupe eneo bunge la teso kusini kaunti ya busia