Serikali ya Bungoma inadai kuwa bado kuwa wafanyikazi hewa wanaozidi kulipwa mishahara

  • | West TV
    68 views
    Kuna idadi kubwa ya wafanyikazi hewa wanaolipwa mshahara na serikali ya kaunti ya bungoma, sasa serikali ya kaunti ikianzisha mchakato wa kurekebisha hali ili kuokoa fedha za mlipa ushuru