22 Jan 2026 10:23 am | Citizen TV 291 views Duration: 2:28 Waziri wa afya Adan Duale amewaonya wanaufanya ulaghai kwenye sekta ya afya kupitia malipo ya SHA kwa kuzidisha bei ya dawa na utengenezaji wa bili ya hospitali kwa huduma ambazo si za kweli kwa wagonjwa.