Skip to main content
Skip to main content

Serikali yaahidi kudumisha amani North Rift

  • | KBC Video
    112 views
    Duration: 2:15
    Serikali imekariri kwamba itatekeleza kila juhudi kuafikia amani ya kudumu na kukomesha maovu ya unywaji pombe na utumiaji mihadarati katika eneo la North Rift. Waziri wa usalama wa taifa Kipchumba Murkomen amesema kuwa serikali imefanikiwa kukomesha mapigano kwenye eneo hilo tangu mwezi Mei mwaka uliopita na kwamba shughuli inayoendelea ya kutwaa silaha itatekelezwa katika kila kijiji. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive