Serikali yapanga kuchimba visima vya maji maeneo kame nchini

  • | Citizen TV
    102 views

    Ili kuzisitiri jamii zinazoishi maeneo kame nchini, serikali inaniua kutumia zaidi ya shilingi milioni 300 kwa miradi thelathini na moja ya maji katika kaunti 23 zenye ukame.