- 396 viewsDuration: 3:27Serikali sasa inasema asilimia 70 ya wanafunzi wamefika shuleni, kufikia siku ya mwisho ya makataa ya kuwataka wanafunzi kuripoti gredi ya 10. Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen akisema kampeni ya kuwasaka wanafunzi imekuwa ikiendelea. Hata hivyo katika baadhi ya shule, wanafunzi walifika shule walizotakiwa kufika bila hata karo wala vifaa walivyotakiwa kuwa navyo.