- 345 viewsDuration: 1:05Rais William Ruto amesema kuw afedha hizo zimetolewa kabla ya shule kufunguliwa ili kuhakikisha kuwa wanafunzi hawatatiziki. Aidha rais amesema kuwa hakuna mwanafunzi atakayekosa nafasi ya kujiunga na sekondari ya juu, na kuwa walimu zaidi wameajiriwa, madarasa 23,000 kujengwa na kuwa ujenzi wa maabara 1,600 utakamilika kufikia mwezi machi mwaka 2026.