- 595 viewsDuration: 22:21David Maina anaugua saratani ya koo. Elizabeth Waithera anaugua saratani ya matiti. David anakula kwa kutumia mrija unaowekwa tumboni. Elizabeth alikatwa titi baada ya kuathirika na saratani. Ni mume na mke, wazazi wa watoto watano.