- 2,999 viewsDuration: 2:11Maafisa wa polisi mjini Mombasa wanawazuilia watu 27 kwa tuhuma za kushiriki imani potovu. Kamanda wa polisi eneo la changamwe Gogo Patrick anasema washukiwa walipatikana baada ya mama mmoja na wanawe kutoroka na kutoa habari kuhusu yaliyokuwa yakiendelea.