- 414 viewsMaafisa nchini Palestina wamesema mashambulizi ya anga ya Isreal yameuua watu 16 katikati mwa Ukanda wa Gaza, wakiwemo wanawake watano na watoto wanne. Shambulizi la mapema leo Jumatatu asubuhi limeharibu nyumba katika kambi ya wakimbizi ya Nuseirat iliyojengwa katikati mwa Gaza na kuua takriban watu 10 wakiwemo wanawake wanne na watoto wawili. Katika Hospitali ya Awda ambayo ilipokea miili, imethibitisha idadi hiyo na kusema kuwa watu wengine 13 walijeruhiwa. Taarifa za hospitali zinaonyesha kuwa watu waliokufa ni pamoja na mama mmoja , mtoto na ndugu zake wengine watano. Shambulizi jingine katika nyumba kwenye mji wa Gaza limeuua watu sita akiwemo mwanamke na watoto wawili kwa mujibu wa kikosi cha ulinzi wa raia na wafanyakazi wa afya wanaofanya kazi chini ya serikali ya Hamas inayoongoza. Shambulizi la hivi punde katika mzozo wa miongo kadhaa kati ya Israel na Hamas ulichochewa Oktoba 7 wakati kundi la Palestina la Hamas liliposhambulia Israel, na kuua watu 1,200 na kuchukua mateka wapatao 250, kulingana na idadi iliyotolewa na Israel. Mashambulio yaliyofuata ya Israel dhidi ya eneo linalotawaliwa na Hamas tangu wakati huo yameua zaidi ya Wapalestina 40,000, kwa mujibu wa wizara ya afya ya eneo hilo, huku pia ikiwafukuza karibu watu wote milioni 2.3, na kusababisha baa la njaa na kusababisha madai ya mauaji ya kimbari katika Mahakama ya Dunia ambayo Israel inakanusha. - AP, Reuters #gaza #ukandawagaza #mateka #israeli #jeshi #voa #voaswahili #qaidfarhanalkadi #hamas #palestina #wapalestina
SHAMBULIZI LA ISRAEL LAUUA WATU 16 GAZA
- - 5 August 2025 ››
- 5 Aug 2025 - Elson Tumwine, who had gone missing while interning at Hoima, a city in Uganda reappeared in Entebbe Magistrate Court and was arraigned before Grade One Magistrate Tibayeta Edgar Tusiime.
- 5 Aug 2025 - Okode claims the letter was a forgery and that no such resignation exists, adding that it was the work of saboteurs.
- 5 Aug 2025 - Five people, among them an infant, were killed a road crash at Mbaruk area in Gilgil along the Nakuru-Eldoret Highway.
- 5 Aug 2025 - The United States on Monday issued a security alert after heavy gunfire erupted near its embassy in Haiti, with the impoverished Caribbean country engulfed by escalating gang violence.
- 5 Aug 2025 - According to KMPDC appeals to be made after 90 days; bed update requests due by August 8.
- 5 Aug 2025 - A Brazilian judge on Monday placed former president Jair Bolsonaro under house arrest for breaking a social media ban, escalating a dramatic standoff between the court and the politician, who is accused of plotting a coup.
- 5 Aug 2025 - The Directorate of Criminal Investigations (DCI) has apprehended Tiktoker Shedrack Omondi Okindo, alias Hon. Mosquito, in connection with an inciting video that was widely circulated on TikTok.
- 5 Aug 2025 - The highway is expected to connect Kenya and two neighbouring nations.
- 5 Aug 2025 - This comes after the closure of at least 1,000 facilities.
- 5 Aug 2025 - The U.S. could require bonds of up to $15,000 (approximately Ksh.1,938,150 for some tourist and business visas under a pilot program launching in two weeks, a government notice said on Monday, an effort that aims to crack down on visitors who overstay…