Skip to main content
Skip to main content

Sheria mpya ya sekta ya chai itadhibiti mawakala

  • | Citizen TV
    141 views
    Duration: 1:24
    Katibu wa wizara ya kilimo Dkt Paul Rono anasema kuwa mswada wa marekebisho ya sheria za mauzo ya majani chai itasuluhisha mauzo ya majani chai moja kwa moja kwa masoko ya kimataifa ambapo wakulima watapata fursa ya kujadiliana na wanunuzi kuhusu bei.Mwaka jana bonasi ya chai ilikuwa duni na wakulima wengi walilalamika na kushinikiza mabadiliko kwenye ukulima na biashara ya majani chai. Akizungumza wakati wa kutembelea viwanda vya Tirgaga na Motigo katika kaunti ya Bomet, Rono alisema kuwa mswada wa majani chai utamaliza mzozo uliopo kati ya wakulima na mawakala.