Shirika la Dada Digital kutoa msaada wa chakula

  • | Citizen TV
    241 views

    Kaunti ya Kajiado ni miongoni mwa kaunti 31 ambazo zimekumbwa na ukame pamoja na baa la njaa. Jamii ya wamaasai ambayo hutegemea sana mifugo imepata hasara kubwa baada ya ukame kuangamiza wanyama.