- 593 viewsDuration: 1:06Shirika la kupambana na dawa za kusisimua misuli nchini kenya (ADAK) limewahimiza wanariadha kuwa makini na dawa za dukani zisizo na ushauri wa daktari. Adak inasema baadhi ya bidhaa hutumika bila kujua zinaweza kuhatarisha taaluma za wanariadha.