Skip to main content
Skip to main content

Shule 11 Baringo zafurika, wanafunzi waagizwa kuhamishwa

  • | Citizen TV
    182 views
    Shule kumi na moja kaunti ya baringo zimefurika kufuatia kuongezeka kwa maji ya maziwa Baringo na Bogoria. Katibu katika wizara ya elimu profesa Julius Bitok ameagiza wanafunzi wanaosomea katika shule hizo wahamishwe mara moja. Hii ni kufuatia hatari inayowakodolea macho wanaposafiri kwenda shuleni na hata kuvamiwa na wanyama wa majini wanapokuwa madarasani.