Shule moja Kakamega inaandaa chakula cha wanafunzi kwa kutumia briketi badala ya Kuni

  • | NTV Video
    310 views

    Shule moja mjini Kakamega imeanza matumizi ya briketi badala ka Kuni katika kuandaa chakula cha wanafunzi. Shule nyingi katika kaunti hiyo bado zinatumia kuni huku zikipima chaguzi za kuhamia kwenye vyanzo safi vya KAWI , mbadala zikiwa ghali zaidi kuliko kuni wanazotumia sasa.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya