Skip to main content
Skip to main content

Shule nyingi C4 Kajiado zimesalia bila wanafunzi

  • | Citizen TV
    371 views
    Duration: 3:31
    Hofu imeibuka miongoni mwa wasimamizi wa shule za kutwa za sekondari ya juu kaunti ya Kajiado kutokana na idadi ya chini ya wanafunzi waliofika shule. Katika baadhi ya shule, ni wanafunzi chini ya kumi waliofika, licha ya wanafunzi zaidi ya 100 kutarajiwa.