- 1,698 viewsDuration: 3:46Hali ya taharuki imetanda katika Kijiji cha Lopiii Turkana mashariki, baada ya wezi wa mifugo kumuua mtu mmoja kwa kumpiga risasi na kuiba mifugo. Hali hii imesababisha shule ya msingi ya Lopiii kukosa kufunguliwa, wazazi na wanafunzi wakihofia usalama wao