Skip to main content
Skip to main content

Shule za sekondari ya juu zaandikisha wanafunzi wachache

  • | Citizen TV
    246 views
    Duration: 3:18
    Na huku muda wa wanafunzi kujiunga na gredi ya 10 ukikamilika leo, shule za sekondari ya juu zimeendelea kuandikisha idadi ndogo ya wanafunzi. Idadi ya chini zaidi ikishuhudiwa kwenye shule za kutwa za ngazi ya C4 ambapo sasa wizara ya elimu inatathmini kujumuishwa kwa shule zilizo na idadi ndogo ya wanafunzi.waziri Migos Ogamba akisema wanafanya tathmini ya gredi ya 10 kabla ya kufanya maamuzi haya