- 187 viewsDuration: 2:48Kiongozi wa chama cha Jubilee Dr. Fred Matiang'i anawahimiza viongozi wa kisiasa kuweka kando tofauti zao na kfanya kazi kwa pamoja ili kupata suluhisho la kudumu kwa changamoto zinazozikumba shule kote nchini.Akiongea wakati wa ibada ya kanisa katika kaunti ya Meru Matiang’i alisema changamoto zinazowakumba wanafunzi , wazazi na wasimamizi wa shule zinahitaji kushughulikiwa kwa dharura. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive